Utatu Mtakatifu

Published on Slideshow
Static slideshow
Download PDF version
Download PDF version
Embed video
Share video
Ask about this video

Scene 1 (0s)

Utatu Mtakatifu. Lusega , Abel Pr.

Scene 2 (6s)

NI MUHIMU KUJIFUNZA. “ Na uzima wa milele ndio huu , Wakujue wewe , Mungu wa pekee wa kweli , na Yesu Kristo uliyemtuma .” Yohana 17:3.

Scene 3 (18s)

Utangulizi. Baadhi ya Waasisi wa kanisa hawakukubali fundisho la Utatu . Mfano James White, J.N. Andrews, A.C. Bourdeau , D.T. Bourdeau , R.F. Cottrell, A.T. Jones, W.W. Prescott, J.H. Waggoner.

Scene 4 (35s)

Sababu. Hawakuwa wameona Ushahidi wa kibiblia wa nafsi tatu katika Mungu Mmoja . Walifikiri kuwa fundisho la utatu linawafanya baba na Mwana kuwa sawa ..

Scene 5 (45s)

3. Waliamini kuwa hiyo itamaanisha kuna miungu mitatu . Mfano J.N. Loughborough: aliwahi kusema “If Father, Son, and Holy Ghost are each God, it would be three Gods” (1861)..

Scene 6 (58s)

4. Waliamini fundisho la Utatu Mtakatifu litahafifisha thamani ya upatanisho . Yesu asingeweza kufa kama alikuwa Mungu.

Scene 7 (1m 7s)

5. Walielewa kua Mwana ana mwanzo . “ Mwanzo wa uumbaji wa Mungu ” ( Ufu 3:14) 6. Mionekano mbalimbali inayotumika kumwakilisha Roho Mtakatifu inaonesha kuwa hawezi kuwa nafsi ..

Scene 8 (1m 19s)

Hoja hizi zilionekana na mshiko miongoni mwa watu wasiokubaliana na dhana ya utatu mtakatifu . Lakini wakati mtizamo huo ulipochunguzwa vizuri , ilionekana hazina uzito wa kutosha kufunika dhana ya utatu wa Mungu mmoja ..

Scene 9 (1m 31s)

USHAHIDI WA KIMAANDIKO 1. Isaya 9:6. “ Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa , Tumepewa mtoto mwanamume ; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake ; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu , Mungu mwenye nguvu , Baba wa milele , Mfalme wa amani .”.

Scene 10 (1m 46s)

Yohana 1:1. “ Hapo mwanzo kulikuwako Neno , naye Neno alikuwako kwa Mungu , naye Neno alikuwa Mungu ”.

Scene 11 (1m 56s)

Yohana 20:21. “ Tomaso akajibu, akamwambia, Bwana wangu na Mungu wangu ! ” Yesu hakumsahihisha Tomaso kuwa yeye ni Mwana tu ila siyo Mungu ,.

Scene 12 (2m 7s)

Tito 2:13. “ tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu , Mungu mkuu na Mwokozi wetu ;”.

Scene 13 (2m 17s)

1 Yohana 5:20. “ Nasi twajua kwamba Mwana wa Mungu amekwisha kuja , naye ametupa akili kwamba tumjue yeye aliye wa kweli , nasi tumo ndani yake yeye aliye wa kweli , yaani , ndani ya Mwana wake Yesu Kristo . Huyu ndiye Mungu wa kweli , na uzima wa milele ”.

Scene 14 (2m 33s)

Waebrania 1:6,8. 6. Hata tena , amletapo mzaliwa wa kwanza ulimwenguni , asema , Na wamsujudu malaika wote wa Mungu . 8. Lakini kwa habari za Mwana asema , Kiti chako cha enzi,Mungu,ni cha milele na milele ; Na fimbo ya ufalme wako ni fimbo ya adili ..

Scene 15 (2m 50s)

ROHO YA UNABII KUHUSU UUNGU WA YESU. 6 Testimonies 392 “The GOD who walked with Enoch was our Lord and Savior Jesus Christ.”.

Scene 16 (3m 0s)

Desire of Ages pg. 24. “It was Christ who from the bush on Mount Horeb spoke to Moses saying, "I AM THAT I AM.”.

Scene 17 (3m 11s)

1 Selected Messages 247 “Christ was God essentially and in the highest sense. He was with God from eternity, God Over All, blessed forever more.”.

Scene 18 (3m 22s)

Desire of Ages pg. 664,665 " Christ had not ceased to be God when He became man.”.

Scene 19 (3m 32s)

Desire Of Ages 530 “In Christ is life, original, unborrowed, underived.”.

Scene 20 (3m 41s)

Kuhusu Roho Mtakatifu Biblia inamwita Mungu. Matendo 5:3 “3 Petro akasema , Anania , kwa nini Shetani amekujaza moyo wako kumwambia uongo Roho Mtakatifu , na kuzuia kwa siri sehemu ya thamani ya kiwanja ?”.

Scene 21 (3m 54s)

Anaitwa Mungu cont …. Matendo 5:4 “4 Kilipokuwa kwako , hakikuwa mali yako ? Na kilipokuwa kimekwisha kuuzwa , thamani yake haikuwa katika uwezo wako ? Ilikuwaje hata ukaweka neno hili moyoni mwako ? Hukumwambia uongo mwanadamu , bali Mungu .”.

Scene 22 (4m 7s)

Anaitwa Bwana. 17 Basi Bwana; ndiye Roho ; walakini alipo Roho wa Bwana, hapo ndipo penye uhuru Jina la Bwana limetumika Kwa RMT kama linavyotumika kwa Mwana na kwa Baba. 2Wakorintho 3:17.

Scene 23 (4m 20s)

Anaitwa Bwana cont …. Isaya 6:8,9 “8 Kisha nikaisikia sauti ya Bwana, akisema , Nimtume nani , naye ni nani atakayekwenda kwa ajili yetu ? Ndipo niliposema , Mimi hapa , nitume mimi . 9 Naye akaniambia , Enenda , ukawaambie watu hawa , Fulizeni kusikia , lakini msifahamu ; fulizeni kutazama , lakini msione .”.

Scene 24 (4m 37s)

Anaitwa Bwana cont …. “25 Na walipokuwa hawapatani wao kwa wao , wakaenda zao , Paulo alipokwisha kusema neno hili moja , ya kwamba , Roho Mtakatifu alinena vema na baba zetu , kwa kinywa cha nabii Isaya , 26 akisema , Enenda kwa watu hawa , ukawaambie , Kusikia , mtasikia wala hamtafahamu ; Na kuona , mtaona wala hamtatambua ;” Matendo 28:.

Scene 25 (4m 56s)

Anaitwa Bwana cont …. Yeremia 31;33 “Bali agano hili ndilo nitakalofanya na nyumba ya Israeli, baada ya siku zile , asema Bwana ; Nitatia sheria yangu ndani yao , na katika mioyo yao nitaiandika ; nami nitakuwa Mungu wao , nao watakuwa watu wangu ..

Scene 26 (5m 9s)

Waebrania 10:15, 16 “Na Roho Mtakatifu naye amshuhudia ; kwa maana , baada ya kusema , 16 Hili ni agano nitakaloagana nao baada ya siku zile , anena Bwana, Nitatia sheria zangu mioyoni mwao , Na katika nia zao nitaziandika ; ndipo anenapo ”.

Scene 27 (5m 24s)

ROHO YA UNABII KUHUSU UUNGU WA ROHO MT. “The Comforter that Christ promised to send after He ascended to heaven, is the Spirit in all the fulness of the Godhead, making manifest the power of divine grace to all who receive and believe in Christ as a personal Saviour . Special Testimonies B no 07 pg. 63.

Scene 28 (5m 41s)

Sin could be resisted and overcome only through the mighty agency of the Third Person of the Godhead, who would come with no modified energy, but in the fullness of divine power.” DA, pg. 671.

Scene 29 (5m 55s)

ST, December 1, 1898 par. 2. He determined to give His representative, the third person of the Godhead . This gift could not be excelled. He would give all gifts in one, and therefore the divine Spirit, converting, enlightening, sanctifying, would be His donation..

Scene 30 (6m 11s)

Acts of the Apostles (1911) AA 51-52. “It is not essential for us to be able to define just what the Holy Spirit is. Christ tells us that the Spirit is the Comforter, "the Spirit of truth, which proceedeth from the Father." It is plainly declared regarding the Holy Spirit that, in His work of guiding men into all truth, "He shall not speak of Himself." John 15:26; 16:13..

Scene 31 (6m 34s)

Acts of the Apostles (1911) AA 51-52. “The nature of the Holy Spirit is a mystery. Men cannot explain it, because the Lord has not revealed it to them... Regarding such mysteries, which are too deep for human understanding, silence is golden..

Scene 32 (6m 47s)

Acts of the Apostles (1911). “The office of the Holy Spirit is distinctly specified in the words of Christ: "When He is come, He will reprove the world of sin, and of righteousness, and of judgment." John 16:8..