POSHO NA RATIBA KUU YA ZOEZI ZIMA LA SENSA HII HAPA.
TAREHE 15 -28 MWEZI WA TANO 2022. KAZI:. KUCHAMBUA WAOMBAJI WA NAFASI ZA KAZI..
TAREHE 29 -16 JUNI 2022. KAZI:. USAILI KWA WAOMBAJI..
TAREHE 17-19 JUNI 2022. KAZI:. KUWASILISHA ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA NGAZI YA WILAYA KWENDA NGAZI YA MKOA..
TAREHE 20-23 JUNI 2022. KAZI:. KUWASILISHA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KWA KAZI YA SENSA NBS, KWA AJILI YA KUMBUKUMBU NA KUTANGAZA KWENYE MTANDAO..
MAFUNZO TAREHE 10-30 JUNI 2022. KAZI:. MAFUNZO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI NGAZI YA TAIFA.
TAREHE 6-26 JULAI 2022. KAZI:. MAFUNZO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI NGAZI YA MKOA..
TAREHE 27JULAI -18 AGOSTI 2022. KAZI:. MAFUNZO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI NGAZI YA WILAYA..
ZOEZI LA SENSA TAREHE 21 -22 AGOSTI 2022. KAZI:. KARANI WA SENSA KUTAMBUA ENEO LAKE LA KUHESABU WATU NA KUHOJI DODOSO ALILOKABIDHIWA..
TAREHE 23 -28 AGOSTI 2022. KAZI:. KARANI KUFIKA KATIKA KAYA NA KUHOJI MASWALI YA MSINGI YAHUSUYO SENSA YA WATU NA MAKAZI KUFUATA DODOSO ALILOKABIDHIWA..
TAREHE 29-31 AGOSTI 2022. KAZI:. KARANI KUFIKA KATIKA KAYA NA KUHOJI DODOSO LA MAJENGO..
TAREHE 1-3 SEPTEMBA. KAZI:. KARANI KUFIKA KATIKA KAYA NA KUHOJI DODOSO LA ANUANI ZA MAJENGO..
KUFAHAMU VIWANGO VYA POSHO PAMOJA NA MASWALI YATAKAYOULIZWA KATIKA INTERVIEW.